Kilimo bora cha alizeti

Loading...
Thumbnail Image

Date

2025

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TARI

Abstract

Zao la alizeti ni miongoni mwa mazao ya mbegu za mafuta, zao hili hutoa mafuta ya kula kwa binadamu na mashudu kwa ajili ya chakula cha mifugo. Alizeti ni zao lenye thamani kiuchumi na mafuta hutumika katika utengenezaji wa vipodozi, madawa na nishati mbadala kwenye viwanda maua ya alizeti hutumika kama mapambo na kutoa chavua kwa ajili ya nyuki kutengeneza asali huongeza tija ya uzalishaji wa alizeti inashauriwa kufuata maelekezo ya kipeperushi hiki na mwongozo na kalenda ya kilimo bora cha alizeti uliotolewa na Wizara ya Kilimo mwaka 2022.

Description

Kipeperushi

Keywords

Alizeti, Mafuta

Citation

Collections