Kilimo bora cha alizeti

dc.contributor.authorTaasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
dc.date.accessioned2026-09-07T09:09:33Z
dc.date.available2026-09-07T09:09:33Z
dc.date.issued2025
dc.descriptionKipeperushi
dc.description.abstractZao la alizeti ni miongoni mwa mazao ya mbegu za mafuta, zao hili hutoa mafuta ya kula kwa binadamu na mashudu kwa ajili ya chakula cha mifugo. Alizeti ni zao lenye thamani kiuchumi na mafuta hutumika katika utengenezaji wa vipodozi, madawa na nishati mbadala kwenye viwanda maua ya alizeti hutumika kama mapambo na kutoa chavua kwa ajili ya nyuki kutengeneza asali huongeza tija ya uzalishaji wa alizeti inashauriwa kufuata maelekezo ya kipeperushi hiki na mwongozo na kalenda ya kilimo bora cha alizeti uliotolewa na Wizara ya Kilimo mwaka 2022.
dc.description.sponsorshipIFAD
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1035
dc.language.isoother
dc.publisherTARI
dc.subjectAlizeti
dc.subjectMafuta
dc.titleKilimo bora cha alizeti
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kilimo bora cha alizeti.pdf
Size:
1.24 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections