Wadudu waharibifu wa minazi, athari zake na udhibiti
Loading...
Date
2024
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
Abstract
Mashambulizi ya wadudu: chonga, utitiri na mbu wa minazi husababisha minazi kukauka, udumavu na kudondoka kwa vidaka kwa kiwango kikubwa hivyo kupelekea uzalishaji wa nazi nchini kupungua kwa zaidi ya 50%, kipeperushi hiki kinaelezea zaidi juu ya athari hizo.
Description
Kipeperushi
Keywords
Minazi, Wadudu waharibifu, Nazi