Ukulima bora wa zao la karafuu

Loading...
Thumbnail Image

Date

2015

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Kilimo, Zanzibar

Abstract

Zanzibar ni maarufu kwa uzalishaji wa karafuu ulimwenguni kwa zaidi ya karne mbili sasa. Uzalishaji huo ulikuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka na kufikia tani 35,000 mwaka 1830 na kumiliki soko la karafuu duniani kwa asilimia 90. Iliongoza katika uzalishaji wa zao hilo kuanzia mwaka 1830 hadi 1940 kabla ya nafasi hiyo kuchukuliwa na Indonesia. Tathmini iliyofanywa hivi karibuni ya Sensa ya Miti (Woody Biomass Survey 2013) imeonesha kwamba Zanzibar kwa sasa ina idadi ya mikarafuu 4,131,783, ambapo Unguja pekee ina jumla ya mikarafuu 277,196 na Pemba mikarafuu 3,854,587.

Description

Keywords

Karafuu, Zanzibar, Pemba, Unguja

Citation

Collections