Ukulima bora wa zao la karafuu

dc.date.accessioned2018-07-02T07:27:27Z
dc.date.available2018-07-02T07:27:27Z
dc.date.issued2015
dc.description.abstractZanzibar ni maarufu kwa uzalishaji wa karafuu ulimwenguni kwa zaidi ya karne mbili sasa. Uzalishaji huo ulikuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka na kufikia tani 35,000 mwaka 1830 na kumiliki soko la karafuu duniani kwa asilimia 90. Iliongoza katika uzalishaji wa zao hilo kuanzia mwaka 1830 hadi 1940 kabla ya nafasi hiyo kuchukuliwa na Indonesia. Tathmini iliyofanywa hivi karibuni ya Sensa ya Miti (Woody Biomass Survey 2013) imeonesha kwamba Zanzibar kwa sasa ina idadi ya mikarafuu 4,131,783, ambapo Unguja pekee ina jumla ya mikarafuu 277,196 na Pemba mikarafuu 3,854,587.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/229
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Kilimo, Zanzibaren_US
dc.subjectKarafuuen_US
dc.subjectZanzibaren_US
dc.subjectPembaen_US
dc.subjectUngujaen_US
dc.titleUkulima bora wa zao la karafuuen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Ukulimaawa karafuu.pdf
Size:
803.63 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections