Dhibiti kidomozi kwa mavuno mengi na bora ya kahawa
Loading...
Date
2018
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania(TaCRI)
Abstract
Kidomozi ni nondo mdogo mweupe ambaye mchana hujificha chini ya majani ya kahawa na kuruka usiku. Kidomozi hushambulia zaidi majani ya kahawa ya aina ya Arabika. Mashambulizi yanayofanywa na wadudu hawa hupunguza mazao kwa asilimia 8-10. Nondo wa kidomozi hutaga mayai juu ya majani ya kahawa na huangua viwavi wadogo ambao huharibu majani kwa kuacha makovu ya kahawia
Description
Kipeperushi
Keywords
Kidomozi, Kahawa, Magonjwa