Dhibiti kidomozi kwa mavuno mengi na bora ya kahawa
| dc.contributor.author | Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania | |
| dc.date.accessioned | 2026-09-07T08:54:54Z | |
| dc.date.available | 2026-09-07T08:54:54Z | |
| dc.date.issued | 2018 | |
| dc.description | Kipeperushi | |
| dc.description.abstract | Kidomozi ni nondo mdogo mweupe ambaye mchana hujificha chini ya majani ya kahawa na kuruka usiku. Kidomozi hushambulia zaidi majani ya kahawa ya aina ya Arabika. Mashambulizi yanayofanywa na wadudu hawa hupunguza mazao kwa asilimia 8-10. Nondo wa kidomozi hutaga mayai juu ya majani ya kahawa na huangua viwavi wadogo ambao huharibu majani kwa kuacha makovu ya kahawia | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1031 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania(TaCRI) | |
| dc.subject | Kidomozi | |
| dc.subject | Kahawa | |
| dc.subject | Magonjwa | |
| dc.title | Dhibiti kidomozi kwa mavuno mengi na bora ya kahawa | |
| dc.type | Other |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Dhibiti kidomozi kwa mavuno mengi na bora ya kahawa.pdf
- Size:
- 1.11 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: