Zuia magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza kwa kuzingatia.
Loading...
Date
2011-08
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya chakula na lishe.
Abstract
Ulaji usiozingatia kiasi na mchanganyiko wa makundi yote ya chakula kama nafaka, mizizi na ndizi,vyakula vyenye asili ya wanyama na jamii ya kunde,mbogamboga na mtunda huchangia kwa kiasi kikubwa viashiria hatari vya magonjwa sugu kama vile ongezeko la lehemu na sukari kwenye damu.Hatima ya hali ni kupatwa na magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza kama vile kisukari,shindikizo kubwa la damu,ugonjwa wa moyo,baadhi ya saratan na mengineyo.
Description
Keywords
Magonjwa sugu, Kuambukiza, Ulaji, Maisha
Citation
www.tfnc.or.tz