Usindikaji wa muhogo: Utengenezaji wa rale - ongeza thamani na ubora wa bidhaa ya muhogo
Loading...
Date
2004
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo - SUA
Abstract
Muhogo ni moja ya mazao ya mizizi hapa Tanzania
na nchi nyinqi za Africa. Muhogo una wanga
mwingi. Zao hili hustahimili ukame na hivyo
husaidia sana katika harakati za kupambana na
njaa hasawakati wa ukame.
Pamoja na umhimu wake, muhogo huharibika
upesi sana. Mara baada ya kuvunwa muhogo
huweza kuharibika ndani ya siku tatu au nne na
kutofaa kwa matumizi ya binadamu. Pia
usafirishaji wa muhogo kutoka sehemu moja hadi
nyingine ni mgumu na wa gharama kubwa. Hii
inatokana na mihogo kuwa na kiasi kikubwa cha
maji. Mambo haya husababisha hasara kubwa
kwa mkulima.
Description
Keywords
Muhogo, Rale, Usindikaji