Usindikaji wa muhogo: Utengenezaji wa rale - ongeza thamani na ubora wa bidhaa ya muhogo

dc.date.accessioned2018-07-04T08:04:48Z
dc.date.available2018-07-04T08:04:48Z
dc.date.issued2004
dc.description.abstractMuhogo ni moja ya mazao ya mizizi hapa Tanzania na nchi nyinqi za Africa. Muhogo una wanga mwingi. Zao hili hustahimili ukame na hivyo husaidia sana katika harakati za kupambana na njaa hasawakati wa ukame. Pamoja na umhimu wake, muhogo huharibika upesi sana. Mara baada ya kuvunwa muhogo huweza kuharibika ndani ya siku tatu au nne na kutofaa kwa matumizi ya binadamu. Pia usafirishaji wa muhogo kutoka sehemu moja hadi nyingine ni mgumu na wa gharama kubwa. Hii inatokana na mihogo kuwa na kiasi kikubwa cha maji. Mambo haya husababisha hasara kubwa kwa mkulima.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/248
dc.language.isootheren_US
dc.publisherIdara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo - SUAen_US
dc.subjectMuhogoen_US
dc.subjectRaleen_US
dc.subjectUsindikajien_US
dc.titleUsindikaji wa muhogo: Utengenezaji wa rale - ongeza thamani na ubora wa bidhaa ya muhogoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Utengenezaji wa rale.pdf
Size:
5.86 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: