Utayarishaji wa mboga za majani
| dc.contributor.author | Kinabo J. L | |
| dc.contributor.author | Msuya J.M | |
| dc.contributor.author | Mnkeni A.P | |
| dc.contributor.author | Nyaruhucha .C | |
| dc.contributor.author | Ishengoma .J | |
| dc.date.accessioned | 2025-12-19T07:17:02Z | |
| dc.date.available | 2025-12-19T07:17:02Z | |
| dc.date.issued | 2015 | |
| dc.description | Kipeperushi | |
| dc.description.abstract | Utangulizi Mboga za majani zinashika nafasi muhimu sana katika vyakula vyetu. Zinaliwa kila siku na mara nyingi zaidi ya mara moja kwa siku. Zipo aina nyingi za mboga za majani, nyingine zinalimwa na nyingine zinaota zenyewe porini na mashambani wakati wa msimu wa mvua. Mboga zina virutubishi kama madini na vitamini ambavyo vinahitajika mwilini kwa afya bora. Hata hivyo pamoja na kwamba zina virutubishi vya kutosha na zinaliwa kila siku, watu wengi wanapata matatizo ya afya yanayotokana na ukosefu wa virutubishi vinavyopatikana katika mboga za majani kwa mfano upofu na upungufu wa damu. Hali hii inajitokeza kwa sababu gani? | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/956 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) | |
| dc.subject | mboga za majani | |
| dc.subject | Faida za kupika chakula | |
| dc.title | Utayarishaji wa mboga za majani | |
| dc.type | Other |