Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Author "Bunda farmers"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji wa kuku wa kienyeji(Sokoine university of agriculture, 2012) Bunda farmersKuku wa kienyeji ni kuku wanaopendwa kufugwa na kuliwa na watu wengi kutokana na uasili wake. Jina la kuku wa kienyeji limekuwa maarufu kutokana na asili(mbegu) ya kuku hawa kutoka katika mazingira yetu tunayoishi, pia mazingira ya ufugaji wake. Ni dhahiri kwa sasa kuku wa kienyeji wamekuwa ghali na wana thamani kubwa kuliko kuku wa kisasa. hii inadhirisha ubora wake na sifa zake kama zinavyoainishwa hapa chini: