Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Title
Now showing 1 - 20 of 134
Results Per Page
Sort Options
Item Agri outreach(CTA, 2010-05-07) Salanje, Geoffrey F.The recent outbreaks of Rift Valley Fever (RVF) caused only minor media interest- but the farmers and animals may not agree that the impact was "minor".Item Alfalfa Management Guide(American Society of Agronomy Crop Science Society of America Soil Science Society of America, 2011) Undersander, D; Cosgrove, DAlfalfa requires a well-drained soil for optimum production. Wet soils create conditions suitable for diseases that may kill seedlings, reduce forage yield, and kill established plants. You can reduce some disease problems associated with poor drainage by selecting varieties with high levels of resistance and by using fungicides for establishment. Poor soil drainage also reduces the movement of soil oxygen to roots. Poor surface drainage can cause soil crusting and ponding which may cause poor soil aeration, micronutrient toxicity, or ice damage over winter. Even sloping fields may have low spots where water stands, making it difficult to maintain alfalfa stands.Item Alfalfa Management Guide(American Society of Agronomy Crop Science Society of America Soil Science Society of America, 2015) Undersander, D; Renz, M; Sheaffer, CKitabu kinachoelezea uzalishaji wa mmea huu wa alfalfa pamoja na faida zake kwa ujumlaItem Amka na Alfalfa Tanzania: Majani jamii ya mikunde(Jukwaa la Kilimo Tanzania, 2019-03)Kilimo Biashara cha Alfalfa Tanzania ni Kilimo Kamilifu (Comprehensive farming) yaani kilimo Shamba hadi Sokoni (From farm to fork), ni Kilimo kinachoangalia mzunguko mzima Wa kuongeza thamani kupitia mnyororo Wa uzalishaji. Kilimo hichi kitawahusisha watafiti katika ngazi zote kuanzia Shamba hadi Dukani.Item Baiashra ya ufugaji bora wa kuku wa asili: kitabu cha mwongozo(Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana hupewa mabaki ya chakula, chenga, pumba au nafaka yoyote inayopatikana katika mazingira husika. Kwa walio wengi ifikapo nyakati za jioni, kuku hulala jikoni au ndani nyumbani kwa mfugaji mwenyewe. Ufugaji huu ni rahisi kwa kuwa hauna gharama kubwa ila faida yake ni kitoweo tu au fedha kidogo sana. Kutokana na lishe duni na kuzaana wenyewe kwa wenyewe (bila kubadili jogoo), kuku wa kienyeji walio wengi wana uzito mdogo. Wana wastani wa uzito wa robo tatu za kilo hadi kilo moja wakiwa na umri wa zaidi ya mwaka mmoja. Ila wakitunzwa vizuri zaidi na kuboreshwa wana uwezo wa kufikia uzito wa kilo moja hadi moja na nusu katika umri wa miezi sita hadi nane. Kwa upande wa utagaji wa mayai kuku wa kienyeji kwa wastani hutaga mayai 50 hadi 65 kwa mwaka. Wakitunzwa vizuri zaidi huweza kufikia uzalishaji wa mayai 80 hadi 100 kwa mwaka. Kijitabu hiki kinatoa maelezo ya njia na kanuni mbalimbali rahisi za kuzingatia ili mfugaji aweze kuzitumia kupata mazao mengi na bora zaidi yatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine. Kanuni hizi ni pamoja na: √ Kuchagua njia bora ya kufuga na sifa za mabanda bora ya kuku √ Kuchagua aina bora ya kuku wa kufuga, kuzaliana na kutotolesha √ Utunzaji wa vifaranga √ Kutengeneza chakula bora cha kuku √ Kudhibiti na kutibu magonjwa √ Kutunza kumbukumbu √ Kutafuta masokoItem Bata mzinga(Ufugaji bora group, 2024-10-11) Ufugaji bora groupBata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi.Item Better Management Practices for Tilapia Aquaculture: A tool to assist with compliance to the International Standards for Responsible Tilapia Aquaculture Version 1.0(World Wildlife Fund, Inc, 2011-01)The purpose of this document is to provide better management practices (BMP) to producers to aid in efforts to seek compliance to the International Standards for Responsible Tilapia Aquaculture (ISRTA). It includes BMPs for all standards included in the ISRTA. Adherence to the BMPs in this document does not infer compliance with the ISRTA, rather these BMPs will assist in identifying means that a farmer can use to achieve the standards that are directly under the control of farm management. The BMP manual is to be used in conjunction with the ISRTA Standards Document and the ISRTA Guidance Tool. The ISRTA are global standards that will help minimize the key negative environmental and social impacts associated with tilapia aquaculture. They are performance-based standards that, with minor exceptions, are measurable. The standards will be amended periodically to reflect changes in science and technology, as well as to encourage innovation and continuous improvement.Item Broiler Production Guide(Livestock Feed LTD - Mauritius, 2017)Mwongozo wenye maelezo ya kiutaalamu juu ya mazingira, matunzo, mahitaji, madawa na vit vya msingi katika ufugaji wa kuku wa kisasa - broilers.Item Broiler Management Guide(Cobb-Vantress - USA, 2012)The Cobb Broiler Management Guide highlights critical factors that are most likely to influence flock performance and is part of our technical information service, which includes the Cobb Hatchery Guide, Technical Bulletins and a full range of performance charts. Our recommendations are based on current scientific knowledge and practical experience around the world. You should be aware of local legislation, which may influence the management practice that you choose to adopt. The Cobb Broiler Management Guide is intended as a reference and supplement to your own flock management skills so that you can apply your knowledge and judgment to obtain consistently good results with the Cobb family of products.Item Chanja kuku wako dhidi ya ugonjwa wa kideri (mdondo)(GALVMed, 2016)Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ndege uliowafuga ikiwa hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa huo na ukitokea mlipuko wa ugonjwa huo, unaweza kuteketeza kuku wote kijijini mwako na hata vijiji vya jirani. Kwa hivyo, ni muhimu kuchanja kundi lako la ndege/kuku!Item Chanjo na uthibiti wa magonjwa ya kuku(Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2017) Chiwanga, Gaspar H.; Muhairwa, A.Kitini kinachoelezeleza kwa ufupi magonjwa na kinga zake kwa maambukizi ya kuku.Item Chemical composition of poultry feedstuffs in tanzania(SUA, 2002-01-23) Laswai, G. H.; Mutayoba, S. K.Balancing feeds for monogastric animals requires reliable information with regard to the nutritional values of the available feed resources. Such information is limited for Tanzanian feedstuffs. In most cases feed formulations are based on the data obtained from other parts of the world. It is well known that chemical composition and hence feed values are influenced to a large extent by the processing techniques and ecological characteristics of the area and these make the acquired information not precisely representing the nutritional values of those feeds. leading into imbalanced compounded diets. Realizing this problem. researchers at Sokoine University of Agriculture (SUA) saw the need to develop this catalogue of feed tables of poultry "feedstuffs with the major purpose of improving the quality of poultry feeds produced in Tanzania.Item Dhibiti ugonjwa wa Kiwele(Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili - EPINAV, 2012)Kipeperushi kinachoelezea ugonjwa wa kiweleItem Dondoo za ujenzi wa banda bora la ngo'mbe(Kilimo Blog, 2019-06-23) Ibrahim, C.: Idadi kubwa ya wafugaji hawatilii maanani umuhimu wa nafasi, ukubwa na idadi ya wanyama wanaopaswa kuwa ndani wakati wa ujenzi wa mabanda. Hujenga mabanda madogo kiasi cha kuwanyima uhuru wanyama kuzunguka ndani au kukidhi mahitaji yao ya kitabia pale wanyama husika wawapo ndani ya mabanda hayo.Item Duck management Guide(CENTRAL POULTRY DEVELOPMENT ORGANISATION (SOUTHERN REGION) -India, 1998)Ducks occupy an important position next to chicken farming in India. They form about 10% of the total poultry population and contribute about 6-7% of total eggs produced in the country. Ducks are mostly concentrated in the Eastern and Southern States of the country mainly coastal region with non-descriptive indigenous stocks, which however are poor layers. Central Duck Breeding Farm under Ministry of Agriculture, Government of India was established in the year 1981 during the 5th Five Year plan with technical collaboration of Government of United Kingdom in order to introduce high yielding variety of ducks for the benefit of farming community.Item Fahamu ugonjwa wa kichaa cha mbwa(Shirika la Afya Duniani, 2017-03-13) Wizara ya Afya, TKichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari, na unasababishwa na virusi vinavyojulikana kama Lyssavirus.Item Faida za mifugo kwa wakulima(Ukulima wa kisasa, 1993-09) Magembe, A.Kilimo na ufugaji wa ngombe,mbuzi au kondoo ni shughuli ambazo zina manufaa mengi kwa mkulima,kwani zinategemeana sana.Mkulima ambaye pia ni mfuaji hunufaika zaidi kuliko yule asikuwa na mifugo:na mfugaji naye pia hunufaika zaidi iwapo analima pia mazao.Item Fish Handling, Quality and Processing: Training and Community Trainers Manual(Commission De L'ocean Indien, 2012)Uvuvi ni moja ya raslimali muhimu inayoongezeka ambayo nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika zinayo kwa ajili ya usalama wa chakula, maisha ya watu na kukua kwa uchumi. Hata hivyo juhudi zinatakiwa kufanyika kuhakisha kuwa jinsi idadi ya watu inavyoongezeka katika nchi hizi ndivyo mahitaji ya chakula na ajira yanavyoongezeka, faida zinazotokana na raslimali ya uvuvi zitalindwa kupitia usimamizi endelevu na uongeza thamani. IOC iliongoza mpamgo wa utekelezaji wa malengo ya uvuvi Kikanda kwa ajili ya Kanda ya ESA - I0 (IRFS) {SMARTFISH} iliyozinduliwa February 2011 ikiwa na malengo ya kuongeza viwango vya Maendeleo ya jamii, uchumi, mazingira na mahusiano ya kikanda katika Ukanda huu kupitia uvunaji endelevu wa raslimali ya uvuvi. Kufanikisha mpango huu ni kuainisha mikakati ya kikanda na kuimarisha mahusiano ya kikanda hasa katika ubia na COMESA, EAC, and IGAD. Hatimaye watakaofaidika ni wavuvi na jamii ya watu wanaoishi katika ukanda wa pwani na wakazi wengi waliopo nchi za Burundi, Comoros, Djibouti, Democratic Republic of Congo, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Madagascar, Malawi, Mauritius, Rwanda, Seychelles, Somalia, Sudan, Swaziland, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe.Item Important Poultry Diseases: Keep up the defense(MSD Animal Health Research - Holland, 2013)The first edition of Intervet’s “Important Poultry Diseases” was in 1972 and still it is one of our most wanted publications. An easy to handle and practical booklet for basic understanding of the most important poultry diseases for people working in poultry management. This is the fifth updated version printed in 2013 with new additional information based on the new developments in Poultry Diseases and progress of the MSD Animal Health Poultry Research in developing additional new products. MSD Animal Health Research is committed to co-operate with the poultry industry worldwide to develop and support solutions to control poultry diseases. MSD Animal Health is more than vaccines alone.Item Jarida la uenezi wa ufugaji wa samaki kwa wakulima(ALCOM/FAO/SUA, 1984)Jarida hili linajumuisha kwa pamoja majarida matatu; Jinsi ya kutengeneza bwawa lako la samaki, Jinsi ya kulisha samaki wako na Jinsi ya kutunza bwawa lako la samaki yaliyotolewa na ALCOM kwa matumizi ya jimbo la mashariki, Zambia. Kufuatia matokeo ya utafiti, marekebisho kadhaa yamefanywa ili kuimarisha elimu ya ufugaji wa samaki Tanzania.