Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Author "Chenyambuga, S. W"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwongozo wa ufugaji bora wa samaki(Idara ya Sayansi za Wanyama, Ukuzaji Viumbe Maji na Nyanda za Malisho, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo., 2020) Munubi, R. N; Lamtane, H. A; Mwandya, A. W; Madalla, N. A; Chenyambuga, S. WKitabu hiki cha mwongozo wa ufugaji bora wa samaki kimeandaliwa na kuandikwa na watalaamu wabobezi wa taaluma ya ufugaji wa samaki toka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Morogoro. Kimeandaaliwa ili kuchangia katika kukidhi mahitaji ya kitaalamu kwa wafugaji wa samaki aina ya perege au sato, kwa vile utafiti umebaini kwamba katika miaka ya hivi karibuni watu wengi wameanza kufuga samaki bila ya kuwa na elimu sahihi. Kitabu hiki cha mwongozo kimeeleza mambo yote ya msingi kwa ujumla wake kuanzia kuchagua eneo la mradi hadi uvunaji na uuzaji wa samaki aina ya perege au sato