Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Author "Idara ya ukuzaji viumbe maji."
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji samaki kwenye vizimba.(Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2021) Idara ya ukuzaji viumbe maji.Ili kuendana na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2016 - 2021) inayosisitiza Tanzania ya Viwanda, inashauriwa ufugaji wa samaki ufanyike kwa kutumia teknolojia za kisasa zenye tija kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Ufugaji wa samaki kwa kutumia mabwawa ndiyo njia iliyozoeleka na inayotumiwa na wananchi wengi. Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba katika maji ya asili. Mabadiliko haya kwa kiasi kikubwa yametokana na mabadiliko ya tabianchi (hususani upungufu wa mvua), uwepo wa teknolojia ya vizimba na wingi wa mavuno yanayotokana na ufugaji wa samaki kwenye vizimba.