Usindikaji na Masoko
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Usindikaji na Masoko by Author "Jamhuri ya Muungano wa T anzania, Wizara ya Kilimo na Chakula"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Teknolojia za hifadhi usindikaji, na matumizi ya mazao ya mikunde baada ya kuvuna(Wizara ya Kilimo na Chakula., 2003-08-07) Jamhuri ya Muungano wa T anzania, Wizara ya Kilimo na ChakulaMazao jamii ya mikunde yanayolimwa hapa nchini ni maharage, soya, kunde na mbaazi. Sifa kubwa ya mazao haya ni kuwa na kiwango kikubwa cha protini nyingi na uwezo wa kuongeza naitrojeni kwenye udongo. Uzalishaji wa mazao haya ni wastani wa tani 490,000 kwa mwaka. (Takwimu, Wizara ya Kilimona Chakula) Hata hivyo kiasi kikubwa cha mazao hayo hupotea baada ya kuvuna. huu husababishwa na matumizi ya mbinu duni katika uvunaji, ukaushaji, usafirishaji, usindikaji na hifadhi. Kiasi kikubwa cha mikunde hupotea wakati wa kuvuna kutokana na kuchelewa kuvuna ambapo mapodo hupasukia shambani. Hali hii huruhusu mashambulizi ya wadudu waharibifu kwa urahisi na punje nyingi kuachwa shambani. Katika uvunaji, mazao mengi hupotea kwani mbinu zinazotumiwa na wakulima bado ni duni na za kuchosha, hivyo mazao mengi huachwa shambani.