Mkulima
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Mkulima by Author "Balegu, W"
Now showing 1 - 4 of 4
Results Per Page
Sort Options
Item Mtama na faida zake(Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2017) Mpagalile, J. J; Balegu, W; Laswai, H; Makindara, J; Mwinuka, V; Mella, O; Msolla, M; Kundi, SKipeperushi kinachoelezea mtama na faida zake kiafya, kimazingira na kiuchumiItem Uendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipato(SADC - FIRCOP - SUA, 2010-01) Mpagalile, J; Laswai, H; Balegu, W; Kulwa, K; Msemo, J; Mwinuka, V; Gowele, D; Chaula, D; Makindara, JMuhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa Tanzania na Musumbiji. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilito katika nchi hizo mbili. Tunawahimiza wadau wote kuongeza juhudi katika kilimo cha muhogo. Lengo la kitabu hiki ni kuwaelimisha wakulima wadogowadogo pamoja na wagani wanaowasaidia wakulima juu ya njia mbalimbali za usindikaji wa muhogo ili kuongeza thamani, Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi kumuwezesha mkulima kuelewa na kufuatilia yaliyomo. Maelezo ya kina kuhusu yaliondikwa kwenye kitabu hiki yanaweza kupatikana kutoka kwa wataalarnu waandalizi wa kitabu hiki.Item Ujasiriamali wa vyakula - Wazo hadi bidhaa - bidhaa hadi faida(Idara ya Sayansi ya vyakula na Tekinolojia, 2017) Mpagalile, J. J; Balegu, W; Laswai, H; Makindara, J; Mwinuka, V; Mella, O; Msolla, M; Kundi, SKipeperushi kinachoelezea ujasiriamali katika mazao ya mtama na uwele.Item Utaarishaji wa unga bora wa mtama(Idara ya Sayansi ya vyakula na Tekinolojia, 2017) Mpagalile, J. J; Balegu, W; Laswai, H; Makindara, J; Mwinuka, V; Mella, O; Msolla, M; Kundi, S; Gowele, V; Chaula, DKipeperushi kinachoelezea utaarishaji bora wa unga wa mtama kwa ajili ya kuingiza sokoni