Misitu na Nyuki
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Misitu na Nyuki by Author "KAJEMBE G.C."
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Umuhimu wa mazao ya misitu yasiyo miti kwa Uhakika wa chakula katika kaya za Tanzania(CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO, 2000-07) KAJEMBE G.C.; MWENDUWA M.I.; MGOO J.S.; RAMADHANI H.Uhakika wa chakula limekuwa ni suala muhimu katika mijadala mbalimbali ya sera za kuondoa umasikini katika nchi nyingi zinazoendelea. Licha ya ongezeko kubwa la uzalishaji wa chakula katika nchi mbalimbaliwatu milioni 790 katika nchi zinazoendelea wanakabiliwa na uhaba wa chakula. Pia watu milioni 34 walioko kwenye nchi zenye viwanda na nchi zenye maendeleo ya kati wana uhaba mkubwa wa chakula (FAO 1999a). Kama watu wote wasio na lishe ya kutosha wangewekwa pamoja, idadi yao ingekuwa kubwa kuliko bara lolote lile ukiacha bara la Asia (FAO 1999a).