Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Author "Bakari, A. M"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki Kuhusu: Mahusiano Baina ya Wakulima na Wafugaji Iliyofanyika Mjini Bagamoyo Tarehe 8 - 11 Oktoba 2001(TARP II-SUA Project, 2001) Bakari, A. MChapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarishaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa mazao na wafugaji. Warsha ilifanyika katika Chuo eha Uongozi wa Elimu (MANTEP) Mjini Bagamoyo tarehe 8 hadi 10 Oktoba 2001. Warsha hii ni moja ya warsha ambazo zimepangwa kufanyika kama shughuli muhimu za kuutekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi Septemba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway kupitia Shirika lake la Maendeleo (NORAD), na unatekelezwa na Chuo Kikuu eha Sokoine eha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo. Warsha hizi zina madhumuni yafuatayo: 1. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na washauri wa kilimo na washika dau wengine ili kudadisi kuhusu mambo muhimu yanayohitaji kushirikishwa pande zote kwa lengo la kufanikisha kilimo. 2. Kuchambua na kuainisha matatizo yanayowakabili wakulima wadogowadogo. 3. Kudadisi ili kutambua mambo gani yapewe uzito au kipaumbele zaidi. 4. Kushiriki katika kupeana uzoefu wa maeneo muhimu ya kilimo. Kamati ya Utekelezaji wa Mradi inatarajia kuwa chapisho hili litakuwa la manufaa kwa washika dau mbalimbali, na mapendekezo yaliyotolewa na washiriki wa warsha yatachangia katika juhudi za kuimarisha uhakika wa chakula nchini.Item Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Kuhusu Mahusiano Baina ya Wakulima na Wafugaji Iliyofanyika Mjini Songea Tarehe 26 - 29 Novemba 2001(TARP II-SUA Project, 2002) Bakari, A. MChapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarlshaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa ma.zao na wafugaji. Warsha ilifanyikakatika Kituo eha Don Bosco Mjini Songea tarehe 26 hadi 29 Novemba 2001. Warsha hii ni moja ya warsha ambazo zimepangwa kufanyika kama shughuli muhimu za kuutekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi Septemba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway kupitia Shirika lake la Maendeleo (NORAD), na unatekelezwa na Chuo Kikuu eha Sokoine eha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu eha Norway eha Kilimo. Warsha hizi zina madhumuniyafuatayo: I. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na washauri wa kilimo na washika dau wengine ill kudadisi kuhusu mambo muhimu yanayohitaji kushirikishwa pande zote kwa lengo la kufanikishakilimo. 2. Kuchambuana kuainishamatatizo yanayowakabillwakulima wadogowadogo. 3. Kudadisi illkutambua mambo gani yapewe uzito au kipaumbele zaidi. 4. Kushirikikatika kupeana uzoefu wa maeneo muhimu ya kilimo. Kamati ya Utekelezaji wa Mradi inatarajia kuwa ehapisho hili litakuwa 1amanufaa kwa wadau mbalimbali, na mapendekezo yaliyotolewa na washiriki wa warsha yatachangia katikajuhudi za kuimarishauhakika wa chakula nchini.