Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Title
Now showing 1 - 20 of 489
Results Per Page
Sort Options
Item African mangosteen: Garcinia livingstonei(Department of Agriculture, forestry and Fisheries - South Africa, 2016)Mangosteen originates in the Sunda Island (Brunei, East Timor, Indonesia and Malaysia) and the Moluccas or Spice Islands (Indonesia) in tropical Asia. Originally from Malaysia, it was spread to the Philippines, Burma and India and further to other parts of the world. The mangosteen plant was introduced in England in 1789, and shortly in the Pacific island and Antilles. Mangosteen was introduced in Sri Lanka in 1800. The mangosteen seedlings were introduced to Australia in 1854, after that it was found throughout the tropics. The tree is widespread in the warmer parts of Africa, from just north of Durban to as far as Somalia and Guinea. In southern Africa it spreads quite far up the Limpopo and Zambezi Valleys.Item Agricultural Research Institutes – Selian, Uyole and Maruku Released Nine (9) Improved Common Bean Varieties in January 2018.(Agricultural Research Institute - ARI Uyole, 2018)Common bean (Phaseolus vulgaris) plays a principal role in the livelihoods of smallholder farmers in Tanzania as food security crop and source of income. It is the leading leguminous crop, accounting for 78% of land under legumes (FAO, 2013). Per capita bean consumption is 19.3kg, contributing 16.9% protein and 7.3% calorie in human nutrition and 71% of leguminous protein in diets. It is estimated that over 75% of rural households in Tanzania depend on beans for daily subsistence (Grisley, 1991; Rugambisa 1990 & Kalyebara et al., 2008).Item Aina mbalimbali za umwagiliaji(Tume ya Taifa ya umwagiliaji, 2021-10-15) Tume ya Taifa ya umwagiliajiUmwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada katika eneo baada ya kumwagilia.Katika nchi yetu, umwagiliaji umekuwa unafanywa sehemu ambazo mvua ni kidogo au sehemu ambazo zinakuwa na mvua nyingi kwa kipindi kifupiTeknolojia ya umwagiliaji maji mashambani inaanzia kwenye kuchukua maji kwenye vyanzo vya maji, kupeleka mashambani na kuyarudisha mtonItem Aina Tatu za Kahawa Tanzania(Mafatanzania blog/Mtanzania.co.tz, 2024-03) Matanzania blog, Mtanzania.co.tzKampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe 14 Machi, 2024. Aina za kinywaji hicho pendwa nchini humo kinachotokana na kahawa kutoka Tanzania ni TULLY’s COFFEE BARISTA BLACK KILIMANJARO; TULLY’S COFFEE MY HOME BLACK KILIMANJARO; na TULLY’S COFFEE BARISTA ROAST COLD BREW – KILIMANJARO BLEND. Kahawa hizo ni kutoka mkoa wa Arusha, Tarime mkoani mara na mashamba ya GDM yaliyoko Mbozi mkoani Mbeya.Item Aina ya tumbaku(Philip Morris International, 2023)Item Athari za vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru katika kuuza mazao makuu ya chakula, kwa ustawi wa wakulima wadogo.(Economic and Social Research Foundation - REPOA, 2012)Kwa nia ya kupambana na viashirio vya uhaba wa chakula ambavyo zaidi husababishwa na hali mbaya ya hewa, Serikali imekuwa na sera ya kuzuia uuzaji wa aina kuu za vyakula nje ya nchi. Hufanya hivyo kwa kisingizio cha kuhakikisha taifa lina chakula cha kutosheleza mahitaji ya wananchi wakati wote. Aidha, Serikali inaamini kwamba vizuizi hivyo ni hatua ya kuwa na chakula kingi nchini na kuwawezesha walaji wamudu bei yake. Uwepo wa vizuizi vya kusafirisha mazao nje ya nchi na vikwazo vya kibiashara na makusudio yake, yaliibua mijadala mikubwa.Item Azimio la Kilimo kwanza(Baraza la Taifa la Biashara Tanzania - TNBC, 2009)Tamko la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), ambapo chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lilifanya mkutano tarehe 2 na 3 mwezi Juni 2009 jijini Dar es Salaam, kujadili sera na mikakati ya kuleta mapinduzi ya kilimo cha Tanzania pamoja na utekelezaji wake chini ya kaulimbiu ya “KILIMO KWANZA”Item Bamia(Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)Mwongozo juu ya ulimaji na uchaguaji mbegu na aina bora ya bamia kwa ajili ya kupata mavuno bora na uvumilivu wa wadudu.Item Bilinganya(Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)Maelezo juu ya ulimaji wa bilinganya na uchaguzi sahihi wa mbegu na aina za bilinganya.Item Binzari ya manjano(Shirika la chakula duniani, 2022-04-22) Shirika la chakula DunianiBinzari ya manjano katika majiko ya nchi zote za Asia Kusini, ikiwa ni pamoja na India na Pakistan. Lakini je binzari manjono hutumiwa kwa ajili ya ladha ya chakula au inaweza kuboresha afya na kuzuwia saratani? Utakuta maelfu ya makala zikielezea jinsi binzari ya manjano zinavyoweza kutibu magonjwa kama kiungulia, kukosekana kwa uwezo wa tumbo wa kusaga chakula, kisukari, huzuni na maradhi ya ubongo ya Alzheimer.Inaweze hata kuponya saratani. Maelfu ya tafiti yamekwishafanywa juu ya binzari ya manjano. Kiungo hiki kinasemekana kuwa na manufaa ya kimatibabu, na kiana kiungo kiitwacho curcumin. Majaribio yaliyofanywa kwa panya yameonyesha kuzuia aina nyingi za saratani kukua ndani yake. Lakini binzari manjano huwa na asilimia mbili hadi tatu za curcumin na tunapoila, miili yetu haifyonzi kiasi chote hicho. Hatahivyo, tafiti kuhusu binzari za manjano huripoti kwa nadra kiasi cha kawaida cha binzari hiyo katika mlo. Kwahiyo ulaji wa kiasi kidogo cha Binzari ya manjano kunaweza kuboredha afya yetu au je tunapaswa kutumia virutubisho vya binzari ya manjano au curcumin kujikinga na magonwa.Item Biringanya(Shirika la chakula duniani, 2022-12-02) Shirika la chakula DunianiBiringanya ni moja ya vyakula ambavyo ni maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupikwa kama mboga katika maeneo mengi ya Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa kama kifurahisha kinywa (snack).Item Boga(Sokoine University of Agriculture, 2022-10-31) chuo kikuu cha kilimo cha sokoinePumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. Kwa sehemu yan je maboga huwa magumu lakini yanapopikwa hulainika. Ndani ya boga huwa kuna kuna mbegu ambazo hutolewa na sehemu ya ndani ambayo huwa inaliwa. Kipande cha gramu 80 cha boga (lililochemshwa) huwa na : Gramu 0.5g za protini Gramu 0.2 za mafuta Gramu 1.5 za nafaka Gramu 1.4 za sukari Gramu 1.2 za faiba( nyuzinyuzi) Miligramu 67za Potassium Miligramu 764 za carotene Miligramu 6 za vitramini C 10Kcal / 42KJItem Bustani za uyoga kwa wakulima wadogo vijijini uyoga aina ya oyster, shiitake na wood-ear(Agromisa Foundation, 2008) Oei, P; Nieuwenhuijzen, BKulima bustani za uyoga ni shughuli inayotimiza kikamilifu kilimo endelevu na zipo faida kadhaa: ? Taka na makapi ya mazao hutumika vema. ? Uzalishaji wa juu kwa kila meta mraba wa ardhi huwezekana. ? Baada ya kuvuna uyoga, makapi ya uyoga ni mbolea. Agrodok hii inatoa maelezo kamilifu juu ya namna ya kustawisha aina tatu za uyoga-oyster, shiitake na wood ear. Aina hizi za uyoga hasa ni rahisi kustawishwa kwa wakulima wadogo. Kustawisha aina nyingi- nezo za uyoga kama white button na inayotokana na nyasi za mpunga ni utaalam tofauti sana kwa hiyo kitaandikwa kijitabu tofauti cha Agrodok kwa aina hizo mbili za uyoga wa white button na nyasi za mpunga.Item Carrot production guidelines: Seeds of Success(Starke Ayres, 2014)The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia and has developed into many shapes and colours of roots. The plant is a biennial, i.e. it grows vegetatively in the first season and produces seed in the second. For root production the plant is grown as an annual.Item Carrots(2000)The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia. Initially the roots were long and thin, and either purple or yellow in colour. These colours, as well as white and orange, still exist, with the orange or orange-red colours being by far the most popular today. Many shapes of roots also exist, from rather long and thin roots to shorter and thick. Roots may be cylindrical, conical, or even spherical in shape. Carrots are particularly rich in carotene (pro-vitamin A). They are consumed either fresh, as a salad crop, or cooked. Large quantities are also processed, either alone or in mixtures with other vegetables, by canning, freezing or dehydration.Item Chakula bora cha samaki(Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2022-02) Idara ya Ukuzaji Viumbe MajiChakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama za uzalishaji. Ili kufuga kwa tija na kupata mavuno makubwa, inashauriwa mfugaji atumie chakula bora cha ziada. Ubora wa chakula ni pamoja na uwepo wa virutubisho muhimu na urahisi wa kumenge’nywa na samaki.Item Chakula cha GMO(Shirika la chakula duniani, 2022-10-04) Shirika la chakula DunianiPengine umesikia kuhusu uhandisi jeni wa vyakula (GMO) na unaweza ukawa unajiuliza inahusu nini, hapa tunakueleza. Kenya wiki hii imeidhinisha kilimo na uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba, (GMO) na hivyo kumaliza marufuku ya muongo mmoja iliyokuwa imewekwa kutokana na hofu ya kiafya. Inakuja wakati nchi inakabiliwa na ukame mbaya. Ukame mbaya zaidi katika miaka 40 umeacha mamilioni ya watu wakikabiliwa na njaa. Serikali ya Rais William Ruto imegeukia mimea iliyobadilishwa vinasaba kama njia ya kusaidia kuongeza mavuno. Inasema nchi inahitaji mbegu zinazostahimili ukame, wadudu na magonjwa. Muongo mmoja uliopita uzalishaji na uagizaji wa mazao ya GM ulipigwa marufuku kwa sababu ya wasiwasi juu ya hatari zinazowezekana za kiafya. Kwa wazi ulikuwa uamuzi usiopendwa na Amerika, ambayo ni nyumbani kwa wazalishaji wakuu wa mbegu zilizotengenezwa kwa vinasaba.Item Chololo kijiji endelevu: mfano wa utendaji bora katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi(Chuo cha Mipango na Maendeleo ya Jamii - IRDP, 2014)Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya na ni mfano wa utendaji bora katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwezesha jamii kufanya majaribio, tathmini na kutumia mbinu 26 za ubunifu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika: kilimo; mifugo; maji; nishati na misituItem Control of th tomato leaf miner "Kanitangaze"(Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza - ICE (SUA), 2017-08) Babili, H. IKipeperushi kunachoelezea ugonjwa wa nyanya "Kanitangaze"Item Controlling Diseases of Raspberries and Blackberries(U.S. DEPARTMENT OF AGRICULTURE., 1975-04-30) Agriculture, U.S. departmentThe most effective control measures for raspberry and blackberry diseases are those taken before the diseases become serious. Varieties adapted to a locality and resistant to the major diseases should be planted, if available. Plants certified as being substantially disease free by a State plant inspection service should be used. Cultural practices that promote vigorous growth are also important in growing healthy raspberries and blackberries.