Matumizi Bora ya Ardhi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Matumizi Bora ya Ardhi by Author "Batamuzi, E. K"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Efficient utilisation of river valleys - experiences from mbarali(TARP II Project - SUA, 2002) Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. PIn the Southern Highlands zones, within zone exchange visit was carried out from April 14 to 19, 2002. In this visit, farmers, extension agents and researchers from Kyela rice growing areas visited their counterparts in the Usangu plains to exchange experiences in ric.ecultivation and other agricultural enterprises being carried during the year. The theme of the visit was "Efficient Utilization of River valleys", a concept aimed at improving awareness of rice producing farmers in land and water management, including cropping systems and their interaction with livestock production systems. It is well understood that land and water are necessary resources for agricultural production. These essential resources have often led to wars between tribes within a country or between countries. Rarely do water and agricultural land are efficiently utilized in agricultural production in most developing countries. The two resources often occur concurrently in valley bottoms for the major part of the year. Thus, valley bottoms offer a unique environment guaranteeing profitable agricultural production if sustainably managed.Item Ziara ya mafunzo kwa wakulima kati ya nyanda za mashariki na ya nyanda za juu kusini(TARP II - SUA Project, 2001) Lyimo-Macha, J. G; Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. PChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula, pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ugani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili (kanda moja kwenda kanda nyingine) zilizofanyika mwezi Agosti na Septemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbinga, Njombe, Makete na Mbeya (Kanda ya nyanda za juu kusini) hawa waliwatembelea wakulima wenzao wa wilaya ya Lushoto. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Bagamoyo, Morogoro Vijijini na Kilosa (Kanda ya Mashariki) ambao waliwatembelea wakulima wa wilaya za Njombe na Mbarali.