Browsing by Author "TARI"
Now showing 1 - 6 of 6
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha alizeti(Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania( TARI), 2022) TARIZao la alizeti ni miongoni mwa mazao ya mbegu za mafuta, zao hili hutoa mafuta ya kula kwa binadamu na mashudu kwa ajili ya chakula cha mifugo. Alizeti ni zao lenye thamani kiuchumi na mafuta hutumika katika utengenezaji wa vipodozi, madawa na nishati mbadala kwenye viwanda Maua ya alizeti hutumika kama mapambo na kutoa chavua kwa ajili ya nyuki kutengeneza asaliItem Kilimo bora cha Mbaazi(Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, 2022-03) TARIItem Kilimo bora cha zao la mkonge(Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), 2022) TARIMkonge ni zao linalostahimili sana ukame, ma- gonjwa, na wadudu waharibifu. Hivyo mkonge unahitaji pembejeo chache kuliko mazao men- gine katika uzalishaji. Mkonge hustawi kuanzia usawa wa bahari Mita 0 - 750 na kwenye mae- neo yenye mvua kiasi cha Milimita 500 - 1200 kwa mwaka.Item Kilimo cha karafuu(Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), 2022) TARIUtangulizi Kuna ukuaji mkubwa wa mahitaji ya mazao ya viungo duniani ingawa uzatishaji na uuzaji wa viungo ni wa chini pamoja na kuwa na maeneo mazuri ya uzalishaji. Ikiwa uzalishaji utakuwa na ubora hasa matumizi ya mbegu bora na kilimo kisichotumia mbolea za viwandani soko lake ni ufumbuzi kwa mkulima. Soko la nje ni kama Afrika ya kati, Asia, Ulaya, Afrika na Amerika. Soko la ndani linajumuisha Zanzibar na Tanzania Bara.Item Tambua sifa za mbegu bora za viazi mviringo(TARI, 2025) TARIViazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara ambalo idadi ya wahitaji inaongezeka kila siku nchini Tanzania. Hapa nchini viazi hustawi vizuri zaidi sehemu za miinuko zenye mvua nyingi na baridi kaliItem Zao la iliki(Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), 2022) TARIUtangulizi Iliki ni moja kati ya mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya nyumbani, hutumika kama viungo kwenye chai, chakula na pia kama tiba ya magonjwa mbalimbali