Mkulima
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Mkulima by Subject "Aina za giligilani"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Jinsi ya kufanya kilimo bora cha giligilani(Farmers MARKET, 2018-12-08) IbrahimKilimo cha Giligilani (coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza na zao hili huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna. Giligilani hutumika kama kiungo cha chakula katika mapishi mbalimbali kama nyama, supu au mchuzi. Giligilani hulimwa katika maeneo mengi ya Tanzania hususani mikoa ya Mbeya, Iringa na Arusha.