Misitu na Nyuki
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Misitu na Nyuki by Subject "Asali"
Now showing 1 - 6 of 6
Results Per Page
Sort Options
Item Asali na faida zake(Sokoine university of agriculture, 2022-12-22)Ikiwa ni tamu kuliko sukari, je asali, ni kimiminika asilia kinachochukua nafasi ya sukari? Mtaalamu wa lishe Jo Lewin anaainisha faida za kiafya na madhara ya asali. Asali hutengenezwa na nyuki. Hutokana na mkusanyiko wa vimiminika vyenye sukari nyingi itokayo kwenye mimea ya maua. Huhifadhiwa katika sega la asali ili kutoa chakula kwa nyuki.Item Maswali mbalimbali yanayoulizwa na wafugaji wa nyuki vijijini(Idara ya Biolojia ya Misitu, Sokoine University of Agriculture - SUA, 2013) Msalilwa, JNYUKI NI NINI? Nyuki ni wadudu wadogo wenye uwezo wa kuruka na hutengeneza vyakula vyao wenyewe kutokana na maji matamu yanayopatikana kwenye maua ya miti na ungaunga unaopatikana katika maua. Wadudu hawa wanauwezo wa kuziba matundu yanayojitokeza kwenye viota vyao kwa kutumia utomvu wa miti. Wadudu hawa ni wasafi sana hawapendi kuishi mahali palipo na harufu ya uozo wa kitu, ukungu, au maji maji (unyevu nyevu).Item Mazao ya nyuki: Sifa, usindikaji na uuzaji(CTA, 2010) Mutsaers, Marieke; Blitterswijk, Henk van; ’t Leven, Leen van; Kerkvliet, Jaap; Waerdt, Jan van deKitabu kinachoelezea ufugaji nyuki na mazao yanayopatikana kutokana na ufugaji huo na jinsi ya kuyaendeleza hadi kufikia hatua ya uuzaji na kujipatia faida.Item A Practical Manual of BEEKEEPING:(How To Content, 2008) Cramp, DavidThis book will help you to start and continue to be a beekeeper. It offers advice in a very practical manner, with step-by-step guidance at each stage of the way. The advice and information it contains are based on general beekeeping knowledge, my own experiences, my successes in beekeeping and, more importantly, my frequent early failings.Item Ufugaji bora wa nyuki(Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)Kipeperushi kinachoelezea ufugaji bora wa nyuki na jinsi ya kuvuna mazao yake ikiwemo asali.Item Watu na nyuki: Mwongozo (kwa lugha nyepesi) wa Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(Wizara ya Maliasili na Utalii, 2004-08)Kijitabu hiki kunatoa mwongozo kwa lugha nyepesi kuhusu Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki Tanzania inayotekelezwa katika kipindi cha mwaka 2001–2010. Programu hii iliidhinishwa na Serikali mwezi Novemba 2001. Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki (PTUN) inakidhi mahitaji ya jumla ya mpango wa maendeleo nchini, hasa Mkakati wa Kupunguza Umaskini (MKU). PTUN imeundwa kutokana na mawazo makuu au misingi inayohusiana na maendeleo endelevu na Usimamizi Endelevu wa Rasilimali za Nyuki (UERN). Hii ina maana kwamba mipango ya maendeleo lazima ipangwe kwa kushughulikia masuala ya mazingira, jamii na uchumi. Kama uchumi utakua wakati mazingira yanaharibika na watu wengi wanakuwa maskini, maendeleo hayatakuwa endelevu. Kwa hivyo PTUN inalenga katika uhifadhi wa mazingira, ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini kwa wakati mmoja. Kama uchumi utakua wakati mazingira yanaharibika na watu wengi wanakuwa maskini, maendeleo hayatakuwa endelevu Mtazamo wa PTUN unahusisha mabadiliko ya Sera za Serikali yanayohimiza ushirikishwaji wa jamii, sekta binafsi, washirika katika maendeleo, mashirika yasiyo ya kiserikali, vikundi vya ufugaji nyuki na vyama mbalimbali katika usimamizi wa rasilimali za nyuki. Ushiriki sawa wa wanawake na wanaume utahimizwa na hii itasaidia katika maendeleo ya uchumi na kupunguza umaskini. Huu ni mtazamo thabiti na wa kusisimua ambao unaleta changamoto na manufaa mengi.Yote haya yamefafanuliwa katika kijitabu hiki.