Misitu na Nyuki
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Misitu na Nyuki by Subject "Ikologia"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Fahamu Umuhimu Wa Ndege Kama Kiashiria Cha Hali Ya Mifumo Ya Ikologia Katika Maeneo Mbali Mbali(Sokoine university of agriculture, 2021-07-08) Mrosso, Hillary ThomasKiashiria ni alama ambayo inatoa taarifa au tahadhari juu jambo fulani zuri au baya na kukufanya uweze kuchukua hatua mapema. Katika uhifadhi au sayansi ya wanyamapori kiashiria ni biolojia ya viumbe ambayo hutumia kuwepo au kutokuwepo kwao katika ikolojia au mazingira Fulani kama kipimo cha afya, ubora au mabadiliko. Wanyama jamii ya amphibia na reptilia wanaweza kutumika kupima mabadiliko ya hali ya hewa kama , ukame, uchafuzi wa mazingira na kuharibika au kusitawi kwa ikolojia, nk.