Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Subject "Afya"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha soya: Mahitaji na uzalishaji wa soya bora(PANTIL - SUA, 2011)Soya ni zao ambayo linalopatikana nakuhusisha mazao katika mimea mengine kama jamii vile ya mikunde maharage, njugu mawe, mbaazi, kunde, fiwi, dengu, choroko. Zao hili linaaminika kuwa asili yake ni Asia ya Mashariki. Mbegu za soya hutofautiana kwa ukubwa, nyingine zikiwa ndogo sana na nyingine zikiwa kubwa kiasi na vile vile kwa rangi kuanzia nyeusi hadi rangi inayokaribia manjano. Kijitabu hiki kinazungumzia kwa ujumla uzalishaji wake.