Matumizi Bora ya Ardhi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Matumizi Bora ya Ardhi by Subject "Bustani"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Matumizi bora ya mbolea ya Minjingu kwenye kilimo cha mboga(Kituo cha Utafiti wa Kilimo, Mikocheni & Kituo cha Ut afiti wa M azao Uyole, 2003)Kipeperushi kinachoelezea mbolea ya Minjingu kama ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa katika eneo hilo. Mbolea ya Minjingu ina kirutubisho cha mimea aina ya fosiforasi kati ya asilimia 12.3-13.2. Tofauti na mbolea nyingine za kupandia zenye madini ya fosiforasi kama vile TSP na DAP ambazo huagizwa nje ya nchi hivyo kugharimu fedha nyingi za kigeni, mbolea hii inayopatikana hapa nchini bei yake ni nafuu.