Matunzo ya shamba na uvunaji wa zabibu

Loading...
Thumbnail Image

Date

2024

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TARI

Abstract

MATUNZO YA SHAMBA NA UVUNAJI Ili kupata mavuno yenye tija ni muhimu kutunza vizuri shamba la mizabibu. Matunzo ya shamba ni pamoja na kupalilia, kutifulia, kudhibiti visumbufu na kukatia mizabibu.  Palilia shamba mara kwa mara ili kudhibiti magugu, kwa wastani palizi tatu zinatosha katika msimu mmoja .  Ni muhumu kutifulia udongo kwenye shamba la mizabibu kila wakati ili kuvuna maji ya mvua.

Description

Kipeperushi

Keywords

Zabibu, Mtunzo ya zabibu, Uvunaji wa zabibu

Citation

Collections