Ufugaji bora wa samaki 2025
Loading...
Date
2025
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
International Tanfeeds LTD
Abstract
MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI
Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji.
Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki.
Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi.
Hulka ya uvumilivu na kuthubutu.
Tathmini ya soko la bidhaa za samaki.
kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samaki
Description
Jarida
Keywords
Samaki, Eneo la kufugia samaki, Bwawa la Samaki, Upandikizaji mbegu za samaki