KILIMO CHA MTAMA

dc.contributor.authorKILIMO BLOG
dc.date.accessioned2021-05-05T08:25:34Z
dc.date.available2021-05-05T08:25:34Z
dc.date.issued20-03-13
dc.descriptionKILIMOen_US
dc.description.abstractMtama ni kundi la mbegu punje ndogo katika jamii ya nafaka ambayo ina kiasi kikubwa cha kabohaidreti.Ni zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumilia hali ya ukame kuliko mazao mengi ya jamii yake,Hivyo hulimwa maeneo mengi Duniani yenye mvua Pungufu na hata yenye mvua za kutosha.Ni moja ya zao ambalo likitumika vizuri husaidia kwa kiasi kikubwa kukabliana na mabadiliko ya hali ya nchi na pia katika vita ya kuzuia njaa.Mtama hutumika Kama vile unga wa ugali,kupikia mikate ya mtama,kupika ubwabwa wa mtama,Unaweza kuchemshwa na Kuliwa (mnyoma-lugha ya kiasili),Viwanda vya bia kutengeneza bia,Pia majani na mabua yake yanaweza kutumika kama chakula cha mifugo,na pia mabua Makavu yanaweza kutumika katika kujengaea uwa .en_US
dc.description.sponsorshipKILIMO BLOGen_US
dc.identifier.citationhttps://ar-ar.facebook.com/kilimoblog/posts/zifahamu-aina-nne-za-mtamamtama-ni-kundi-la-mbegu-punje-ndogo-katika-jamii-ya-na/1870491229638445/en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/545
dc.language.isootheren_US
dc.subjectMTAMAen_US
dc.titleKILIMO CHA MTAMAen_US
dc.title.alternativeAINA ZA MTAMAen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Edy MTAMA.docx
Size:
36.87 KB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
KILIMO BLOG
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections