Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Author "Hella, Joseph"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Tabia za ukuaji wa nyasi aina ya Brachiaria katika ukanda wa juu wa nyada za kusini mwa Tanzania (Rungwe).(Sokoine University of Agriculture, 2021) Selemani, Ismail S.; Mwaseba, Dismas; Nyambilila, Amur; Hella, Joseph; Kyaruzi, Athumani; Nchimbi, Susan; Sanga, CamilusUfugaji nchini Tanzania unakabiliwa na uhaba wa malisho na hivyo kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa maziwa. Tafiti zilizotangulia zinaonesha kuwa uzalishaji kwa sasa ni kati ya lita 4 hadi 8 badala ya lita 15 kwa ng’ombe kwa siku (Mtengeti na wengine 2018).