Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Author "Idara ya ukuzaji viumbe maji"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Unenepeshaji wa kaa(Wizara ya Mifugo na Uvuvi,, 2022-03) Idara ya ukuzaji viumbe majiKaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). Kaa hawa huishi kwenye mikoko na mara nyingi hujichimbia kwenye tope. Kaa wanakua kwa kujivua gamba kila hatua ya ukuaji. Faida za kunenepesha kaa ni pamoja na kuongeza kuongeza uzito na ubora wa nyama, kipato, kupunguza vifo na kuhifadhi mazingira ya mikoko.