Chakula na Lishe
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Chakula na Lishe by Author "BBC NEWS Swahili"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Maji ya limau.(BBC NEWS, 2023-01-07) BBC NEWS SwahiliUnywaji maji ya limau kumehusishwa na faida nyingi, ikiwa ni pamoja na kuboresha ngozi na usagaji chakula.Ndimu na matunda mengine ya machungwa yanajulikana sana kwa ngozi zao za rangi, zilizo na mashimo na ladha nyororo na yenye kuburudisha. Maji ya limau ni maji ya limau pamoja na maji na yanaweza kuywewa yakiwa ya moto au baridi, pamoja na viongezi kama vile zest ya limau, asali, mint au viungo kama vile manjano au pilipili.