Chakula na Lishe
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Chakula na Lishe by Author "Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Vyakula vya mgonjwa wa kisukari(Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2024-06) Chuo kikuu cha kilimo cha sokoineVyakula vya mgonjwa wa kisukari ni vipi? Je, kuna vyakula vinavyosababisha kisukari? Je mgonjwa wa kisukari anaweza kula vyakula vya wanga? Je, kuna vyakula vinavyosababisha Ugonjwa wa Kisukari? Kuna vyakula ambavyo vinaweza kusababisha kisukari au kufanya iwe vigumu kudhibiti sukari. Vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta mengi, wanga mwingi, na sodiamu nyingi ni baadhi ya vyakula unavyopaswa kula kwa kiasi.Siri za Vyakula vya Mtu Mwenye Kisukari Aina ya vyakula unavyokula huathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako kwa namna tofauti.