Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Author "Bodi ya tumbaku"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha tumbaku(Bodi ya tumbaku tanzania, 2022-11-23) Bodi ya tumbakuTumbaku huzalishwa kwa ajili ya majani yake,majani ya tumbaku yanapo komaa huvunwa na tumbaku hutumika hasa kutengeneza sigara.Aina za tumbaku zinazo limwa Tanzania ni tumbaku ya mvuke (VFC) na tumbaku ya moshi (DFC). Tumbaku ya Moshi hulimwa kusini mwa Tanzania hasa Ruvuma na tumbaku ya Mvuke hulimwa Tabora, Shinyanga, Kigoma, Katavi, Iringa, Mbeya, Songwe, Singida, Morogoro, Mara, Kagera na Geita.