Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Author "Chaula, D"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Uendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipato(SADC - FIRCOP - SUA, 2010-01) Mpagalile, J; Laswai, H; Balegu, W; Kulwa, K; Msemo, J; Mwinuka, V; Gowele, D; Chaula, D; Makindara, JMuhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa Tanzania na Musumbiji. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilito katika nchi hizo mbili. Tunawahimiza wadau wote kuongeza juhudi katika kilimo cha muhogo. Lengo la kitabu hiki ni kuwaelimisha wakulima wadogowadogo pamoja na wagani wanaowasaidia wakulima juu ya njia mbalimbali za usindikaji wa muhogo ili kuongeza thamani, Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi kumuwezesha mkulima kuelewa na kufuatilia yaliyomo. Maelezo ya kina kuhusu yaliondikwa kwenye kitabu hiki yanaweza kupatikana kutoka kwa wataalarnu waandalizi wa kitabu hiki.Item Utaarishaji wa unga bora wa mtama(Idara ya Sayansi ya vyakula na Tekinolojia, 2017) Mpagalile, J. J; Balegu, W; Laswai, H; Makindara, J; Mwinuka, V; Mella, O; Msolla, M; Kundi, S; Gowele, V; Chaula, DKipeperushi kinachoelezea utaarishaji bora wa unga wa mtama kwa ajili ya kuingiza sokoni