Browsing by Author "Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele"
Now showing 1 - 9 of 9
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo Bora cha Mihogo(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele1.0 Utangulizi. Muhogo ni miongoni mwa mazao makuu ya chakula richini Tanzania. Inakadiriwa kuwa tani milioni lino (5) za muhogo mbichi zinazalishwa hapa nchini kwa mwaka. Kanda zinazoongoza kwa uzalishaji ni Kanda ya ziwa (37%), Kanda ya kusini (28%) na Kanda ya mashariki (12%). Karibu 75% ya muhogo unaozalishwa hutumika kwa chakula. Muhogo huvumilia ukame na pia hufanya vizuri hata katika ardhi yenye rutuba hafifu «kilinganisha na mazao mengine.Item Kilimo bora cha ufuta(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleUfuta ni zao la biashara ambalo hutumika kama chakula cha binadamu.Mbegu zake hutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama kashata, mikate, tui,bwimbwi, mashudu yake hutumika kulisha mifugo.Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa ufuta ikifuatiwa na Myanmar na India (chanzo:FAO 2018. Ufuta hustawi zaidi mikoa ya Lindi, Mtwara,Dodoma,Manyara na MbeyaItem Kilimo bora cha Ufuta(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2021-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleItem Kilimo Bora cha Viazi vitamu(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleViazi vitamu ni miongoni mwa mazao muhimu ya chakula nchini Tanzania. Zao hili hustawi karibu mikoa yote hapa nchini Tanzania. Kwa uzalishaji, viazi vitamu vinashika nafasi ya nne baada ya Mahindi, Muhogo na Maharage. Viazi vitamu pia vinashika nafasi ya tatu kwa umuhimu baada ya Muhogo na viazi mviringo kwa mazao ya chakula aina ya mizizi na jamii ya viazItem Kupanda Mikorosho mipya(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleKipeperushi kinazungumzia upandaji wa mikorosho mipya ambappo ni kitendo cha kuanzisha shamba jipya kwa kufuata kanuni za kilimo bora cha mikorosho.Mashamba ya wakulima wengi yana mavuno hafifu, uzaaji mdogo hali iliyotokana na upandaji holela na duni na utumiaji wa mbegu hafifu.Item Matunzo ya Mikorosho shambani(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleItem Uanzishwaji wa kitalu cha miche ya mikorosho.(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleItem Uanzishwaji wa kitalu cha miche ya mikorosho.(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo NaliendeleViriba vinaweza kutengenezwa kwa kutumia mifuko ya plastiki au karatasi ya plastiki kiuchumi viriba vidogo( i.e 7.5 sm kipenyo sm 20 kimo) Vinamanufaa zaidi kwasababu huhitaji udongo kidogo na huchukua eneo dogo la kitalu ukiringanisha na hivi vikubwa.Item Upogoleaji mikorosho michanga iliyobebeshwa(Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25) Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele