Mifugo na Uvuvi
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Mifugo na Uvuvi by Subject "Baharini"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Tanzania iyajo uvuvi wa kisasa unaotumia sayansi, teknolojia na ubunifu(Wizara ya Kilimo uvuvi na ushirika, 2015)Samaki wamekuwa ni chanzo kizuri na kikubwa cha protein Duniani. Ulaji wa samaki umeongezeka maradufu tokea Mwaka 1973; asilimia 90 (90%) la ongezeko hilo likiwa kwa nchi zinazoendelea (Developing Countries). Tani milioni 45.4 za samaki zililiwa Duniani Mwaka 1973: India-tani milioni 1.8, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara-tani milioni 2.6; China-tani milioni 4.9 na Japan-tani milioni 7.6. Benki ya Dunia (WB) inakadiria kwamba ifikapo Mwaka 2030, asilimia 70 (70%) ya mahitaji (matumizi/ulaji) ya samaki yatatokea kwenye Bara la Asia.