Usindikaji na Masoko
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Usindikaji na Masoko by Subject "Biofueli"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwongozo wa uendelezaji endelevu wa biofueli kimiminika Tanzania(Wizara ya Nishati na Madini, Tanzania, 2010-11)Katika miaka ya karibuni, uendelezaji wa biofueli umekuwa ni agenda ya kawaida duniani kote. Fueli zimiminikazo ambazo zinatokana na tungamotaka zinathibitisha kuwa mbadala wa fueli za fosili hususani bidhaa za petroli katika hali ya mafuta ya petroli na dizeli. Hivyo, biofueli zinaweza kutumika katika kupikia, kutoa mwanga, kuzalisha umeme na kuendeshea vyombo vya usafiri. Biofueli kwa ufafanuzi ni fueli zitokanazo na tungamotaka na zinaweza kuwa katika hali ya yabisi, gesi na kimiminika. Biofueli yabisi ni pamoja na mkaa na kuni; biofueli gesi ni biogesi, gesi inayozalishwa katika madampo yaliyofukiwa na udongo, n.k, na biofueli kimiminika inajumuisha mafuta yanayotokana na mbegu za mimea au mimea yenyewe kama, ethano na biodizeli.