Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Subject "Aina Tatu mpya za Kahawa Tanzania"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Aina Tatu za Kahawa Tanzania(Mafatanzania blog/Mtanzania.co.tz, 2024-03) Matanzania blog, Mtanzania.co.tzKampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe 14 Machi, 2024. Aina za kinywaji hicho pendwa nchini humo kinachotokana na kahawa kutoka Tanzania ni TULLY’s COFFEE BARISTA BLACK KILIMANJARO; TULLY’S COFFEE MY HOME BLACK KILIMANJARO; na TULLY’S COFFEE BARISTA ROAST COLD BREW – KILIMANJARO BLEND. Kahawa hizo ni kutoka mkoa wa Arusha, Tarime mkoani mara na mashamba ya GDM yaliyoko Mbozi mkoani Mbeya.