Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Subject "Azadirachta indica"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwarobaini-Azadirachta indica(HDRA Publishing, 2006)Mti wa mwarobaini unayo matumizi na faida nyingi, lakini hapa tutajadili umuhimu wa mti huu katika kuzuia na kukabili wadudu na magonjwa ya mimea. Duniani kote, theluthi moja ya vyakula vilivyo shambani au kuhifadhiwa hupotezwa kwa kuvamiwa na wadudu kila mwaka. Mpunga na mahindi ndio huadhiriwa kwa wingi katika Afrika na Asia. Lengo kuu la makala haya ni kueleza jinsi mwarobaini unavyoweza kutumiwa katika kukabili shida hii.