(Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA), 2026-08-28) Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA)
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo na taarifa rasmi ya msimu wa mvua za Vuli (Oktoba hadi Desemba) 2026, ikionyesha kuwepo kwa mfumo wa hali ya hewa wa El NiƱo yenye nguvu kubwa.Wananchi washauriwa namna ya kuandaa mashamba, mazao ya kuzingatia na mbegu gani zitumike