Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Author "Batamuzi, E. K"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Uendelezaji mpana wa kilimo Mafunzo Kutoka Njombe(TARP II-SUA Project, 2003-03) Kinabo, L. D. B; Tarimo, A. J. P; Batamuzi, E. K; Makungu, P. JChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ughani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara iliyofanyika mwezi Machi 2003. Ziara hii iliwashirikisha wakulima na washauri wa ughani kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Handeni, Lushoto, Morogoro, Bagamoyo, Kibaha, Korogwe na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya Mjini, Njombe, Sumbawanga, Songea, Rujewa, Namtumbo na Iringa Mjini, ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Njombe, Iringa. Ripoti hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.Item Vikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, Mbeya(TARP II Project - SUA, 2002) Lyimo-Macha, J. G; Batamuzi, E. KMakala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba na Novemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Kilosa, Kilombero, Rufiji na Morogoro Vijijini, ambao waliwatembelea wakulima wa mpunga wa Mkindo, Turiani wilaya ya Morogoro. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya vijijini, Iringa Vijijini, Njombe, Ludewa na Chunya ambao walitembelea vikundi vya wakulima wa wilaya ya Mbozi. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.