Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Subject "Ardhi"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Mkulima Mbunifu, Jarida la Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Toleo 111(Biovision, 2021-12)Jarida la wakulima ambalo linatoa makala mbalimbali za kusaidiwa wakulima toleo hili lina makala juu ya ulaji wa matunda, kirutubisho cha EMAS, Malisho ya nguruwe, Uoteshaji wa majani ya malisho kwa mifugo, Ufugaji wa nyuki, Umuhimu wa kuhifadhi ardhi na utengenezaji na usindikaji wa maziwa ili kupata jibini.Item Mkulima Mbunifu, Jarida la Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Toleo 112(Biovision, 2022-01)Toleo hili lina makala kuhusiana na Kanuni za kilimo hai na mazingira, Matumizi bora ya ardhi - Ekari moja ya ardhi iliyopangiliwa huimarisha uchumi wa familia, Uchafu husababisha magonjwa ya ngozi kwa mifugo, Matumizi sahihi ya mbolea ya samadi itokanayo na kinyesi cha Popo, Ni muhimu kuwa na mzani katika ufugaji wa nguruwe, Lishe bora husaidia ukuaji wa mtoto na makala ya Kilimo hai kimenifungua macho na kunionyesha fursa za kilimo.