Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Subject "Avacado"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha Parachichi(Msumba News, 2018-02)Parachichi ni moja ya tunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala mbili, tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi huitwa Persea Americana,parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa, umbile la parachichi ni mviringo au yai. Mti wa parachichi unajichevisha wenyewe. Parachichi kibiashara linafaida maana linahitajika sana kiafya.Item Tajirika na kilimo cha parachichi(Kilimo Biashara Blog, 2018)Miparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la “chakula cha mbwa” kwa kuwa mara nyingi yalipodondoka kutoka kwenye miti yaliliwa na mbwa. Hata hivyo, mikoa ya kusini (Mbeya) maparachichi yamekuwa tunda muhimu katika milo yote. Utafiti umeonesha kwamba maparachichi yana mafuta muhimu yanayoondoa mafuta yanayoganda kwenye mishipa ya damu. Pia yana virutubisho vinavyofanya damu itembee kwa urahisi mwilini. Maparachichi yana virutubisho vya vitamini E. Kwa sababu hii maparachichiyanatumika katika kutengeneza vipodozi ya ngozi na nywele.