Uzalishaji Mazao
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Uzalishaji Mazao by Subject "Alizeti"
Now showing 1 - 7 of 7
Results Per Page
Sort Options
Item Kanuni bora za kilimo cha Alizeti Tanzania(Mogriculture.com, 2017)Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini.Item Kanuni za Kilimo Bora cha Alizeti Tanzania(Mogriculture TZ, 2018-03)Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini.Item Kilimo bora cha Alizeti(Kilimo Tanzania Blog, 2016-10) Mussa, DAlizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UZALISHAJI Kuchagua aina bora ya mbegu • Chagua aina bora ya mbegu inayovumilia magonjwa, wadudu, inayotoa mazao mengi na kiwango kikubwa cha mafuta. • Vilevile chagua aina ya mbegu ambayo hukomaa kwa wakati mmoja ili kurahisisha uvunaji.Item Kilimo bora cha alizeti(Sokoine University of Agriculture, 2021-05-12) Malekani, AndrewAlizeti hutambulika kitaalamu Kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Vilevile ni zao ambalo halihitaji mbembejeo za gharama sana ukilinganisha mazao mengine kama mahindi, ngano, n.k. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusiniItem KILIMO BORA CHA ALIZETI - Sehemu ya Kwanza na Pili (Growing Sunflower - Part One& Two)(Mjasiriamali hodari, 2018-12-27)Alizeti (Sunflower) ni zao linalolimwa kwa wingi nchini Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na Duniani kote kwa ujumla. Alizetini zao la biashara na hutumika kutengenezea mafuta ya kupikia (Cooking Oil). Wakulima walio wengi wamekua wakipanda mbegu za kienyeji ambazo mavuno yake huwa hafifu sana tofauti na mbegu za kisasa (Hybrid varieties). Katika makala hii nitakueleza namna ya kuzalisha zao hili kisasa ili upate mavuno mengi.Item Mkulima Mbunifu Toleo na. 64, Januari, 2018(Biovision, 2018)Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Mipango thabiti hutimiza malengo; Fahamu kuhusu ugonjwa wa ndui ya mbuzi;Ndui ya mbuzi: Ugonjwa hatari usio na tiba; Fahamu kuhusu mnyororo wa thamani katika mazao ya kilimo hai; Hakikisha nguruwe wanapata lishe bora na kwa wakati; Zalisha na sindika alizeti kwa kuongeza thamani na ubora; Tambua wadudu, magonjwa na wanyama waharibifu wa soya; Jarida la MkM Limetuamsha kuanzisha miradi mbalimbaliItem Ongeza mavuno ya alizeti kwa kupanda mimea mseto(Kenya Agricultural Reseach Institute - KARI, 2008)Alizeti ni mmea unaotumika sana kama mmea wa mafuta katika Kusini Magharibi mwa Kenya. Ni mmea wa mauzo ya thamani ya juu na hutoa mafuta ya hali ya juu. Hata hivyo, ukuzaji wake ni wa kiwango cha chini kwa sababu ya kutumia mbegu duni, utunzaji mbaya wa mimea na kuliwa na ndege. Wakulima wengi humiliki mashamba madogo madogo (ekari 1 hadi 3) na huwa na mtindo wa kupanda mmea kwa pamoja na mahindi kwa matumizi ya nyumbani na alizeti kwa mauzo